Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makala

UN News/Video capture

Serikali ya Tanzania itakomboa watu wenye ulemavu kwa kuboresha mfumo wa ajira serikalini -  Shega Mboya

Serikali nchini Tanzania imeshauriwa kuboresha Sekretarieti ya mfumo wa uombaji ajira kwa njia ya mtandao maarufu kama Ajira Portal ili uweze kuwatambua watu wenye ulemavu na hivyo kumiza matakwa ya sera ya ajira ambayo ina kipengele mahususi kinacholenga kuwajumuisha watu wenye ulemavu.  Ushauri huo umetolewa na Shega Mboya wa Morogoro, Tanzania ambaye pamoja na kuwa na elimu ya juu ya digrii mbili, hajaweza kupata ajira ingawa anaamini pamoja na vigezo vingine ambavyo anaamini anavyo, laiti mfumo wa kidijitali ungeweza kutambua watu wenye ulemavu, ingekuwa rahisi kwake na kwa we

Sauti
2'40"
Acnur Brasil

Tunaishukuru UNHCR imetusaidia kubadilisha maisha – Watu wa asili ya Warao ukimbizini Brazil 

Kuelekea kuanza kwa Kikao cha 21 cha Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la watu wa asili ambalo litaanza Jumatatu wiki ijayo kwa kuwakutanisha katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jamii za watu wa asili, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeutumia mfano wa watu asili wa wa jamii ya Warao wa Venezuela walioko ukimbizini Brazil, kuonesha kuwa watu wa asili ni miongoni mwa makundi yanayoathiriwa zaidi na mizozo inapotokea katika jamii. Evarist Mapesa wa Redio washirika SAUT FM ya Mwanza Tanzania anaisoma taarifa hii.  

Sauti
2'49"
UNICEF TANZANIA

Tanzania imepata funzo katika janga la Covid-19, inaboresha miundombinu ya elimu

Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari nchini Tanzania wameeleza kunufaika na mkopo wa riba nafuu Trilioni 1.3 ambao Tanzania iliupata mwaka jana 2021 kutoka Shirika la Fedha Dunia IMF kwa kuelekeza sehemu ya fedha katika uboreshaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19, ikijenga vyumba vya madarasa 12,000 vilivyogharimu shilingi Bilioni 240 kwa lengo la kupunguza msongamano shuleni sambamba na miundombinu ya madarasa na samani za ndani kuzingatia afua za kujikinga na ugonjwa wa Covid 19 au kama wanavyoita katika nchi hiyo, Uviko 19. Katika kuones

Sauti
4'26"
© FAO/Petterik Wiggers

Tutawaelekeza maafisa ugani wasaidie wakulima Uyui, Tabora - Kosare Makori

Kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi kuleta ukame katika maeneo mbalimbali ya dunia, kusababisha kupungua kwa mvua za masika, baadhi ya wakulima wa  wilaya ya Uyui mkoani Tabora, nchini Tanzania wanasema hawajasazwa katika kukumbana na athari za mabadiliko hayo kwani hata mvua za masika walizokuwa wanazitegemea kukuzia mazao yao, zimekuwa za kusuasua.

Sauti
3'33"