Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

ICJ-CIJ/ Frank van Beek

Israel yaiambia mahakama ya ICJ kwamba vita dhidi ya Hamas huko Gaza ni kitendo cha kujilinda

Israel imekanusha vikali shutuma kuwa ina nia ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina na kusisitiza kuwa ipo katika vita ambayo wao hawakuianzisha na wala hawakuitaka kufuatia hapo jana nchi ya Afrika kusini kuwasilisha kesi mbele ya mahakama ya Umoja wa Mataifa ya kimataifa ya haki ICJ wakitak

Sauti
3'4"