Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Methali: Umekuwa Jeta Hubanduki!

Methali: Umekuwa Jeta Hubanduki!

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mkuu wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anachambua methali Umekuwa Jeta Hubanduki! 

Audio Credit
Dkt. Mwanahija Ali Juma
Sauti
1'21"
Photo Credit
Habari za UN