Stadi za maisha ni muhimu hususani kwa vijana ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu
Nchini Tanzania Jumla ya Kaya 13,600 na vijana 2,700 wanatarajiwa kunufaika na tathmini ya upimaji stadi za maisha kwa kuangalia viwango vyao vya kujitambua, ushirikiano walionao kwao na kwa jamii, jinsi wanavyotatu matatizo pamoja na heshima binafsi jinsi wanavyojiheshimu wao, jamii na mali za w