Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mbali ya ulinzi wa raia kuna majukumu mengine katika operesheni za ulinzi wa amani:Raymond na Fatma 

Mbali ya ulinzi wa raia kuna majukumu mengine katika operesheni za ulinzi wa amani:Raymond na Fatma 

Pakua

Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zinajumuisha masuala mbalimbali zaidi ya kubeba silaha kukabili waasi na kupiga doria ya kuwalinda raia na mali zao. Tukielekea siku ya ulinzi wa amani duniani itakayoadhimishwa Mei 29 tunazungumza na walinda amani mbalimbali wakitueleza majukumu yao katikia operesheni za Umoja wa Mataifa, na leo tuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye kikosi maalum cha kujibu mashambulizi FIB kilicho chini ya mwamvuli wa mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo MONUSCO kuzungumza na baadhi ya walinda amani wakieleza majukumu yao mengine mbali ya kulinda raia, wasikilize 

Audio Duration
3'46"
Photo Credit
MONUSCO/ Denisia Lihaya