Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Heko Meja Winnet Zharare kwa kushinda tuzo ya UN ya  mtetezi bora mwanajeshi wa masuala ya jinsia 2021

Heko Meja Winnet Zharare kwa kushinda tuzo ya UN ya  mtetezi bora mwanajeshi wa masuala ya jinsia 2021

Pakua

Mlinda amani raia Zimbabwe ambaye hivi karibuni alimaliza kazi yake katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini UNMISS, ameshinda tuzo ya Umoja wa Mataifa ya mwanajeshi mtetezi bora wa masuala ya jinsia kwa mwaka 2021.

Audio Credit
Leah Mushi/Flora Nducha
Sauti
3'53"
Photo Credit
UNMISS