TANZBATT 8 tutaendelea kuendeleza uhuasiano mzuri na wananchi wa CAR
Pakua
Kikosi cha 5 cha ulinzi wa amani kutoka Tanzania, TANBATT 5 kinachohudumu katika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, MINUSCA, kimeyatumia maadhimisho ya wiki ya elimu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea kujenga uhusiano mwema na jamii. Meja Asia Hussein ni Afisa Habari wa kikosi hicho na hii ni taarifa yake.
Taarifa ya Meja Asia Hussein
Audio Credit
Leah Mushi / Meja Asia Hussein
Audio Duration
2'15"