Waandishi wa habari nao wapata elimu kuhusu SDGs Tanzania
Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC Dar es Salaam kimewaelimisha waandishi wa habari wa Morogoro Tanzania kuhusu Malengo ya maendeleo endelevu.
Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC Dar es Salaam kimewaelimisha waandishi wa habari wa Morogoro Tanzania kuhusu Malengo ya maendeleo endelevu.
Mfuko wa kimataifa wa maendeeo ya kilimo IFAD umesema haki za watu wa jamii za asili za kuishi na kulisha familia zao kwa kutumia ardhi zao kote duniani ni suala la muhimu lisilo na mjadala na mfuko huo umezitaka serikali kote ulimwenguni kuhakikiza haki hizo zinadumishwa.
Mzozo wa Ethiopia ukiendelea, familia moja iliyotenganishwa walipokimbia eneo la Tigray la Ethiopia ina bahati ya kuungana tena nchini Sudan, lakini wasiwasi juu ya maisha yao ya baadaye ni mzito.
Nchini Tanzania Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la mitaji UNCDF na wadau wamezindua mpango wa kutumia teknolojia ya simu ya kiganjani kumwezesha mkulima mkoani Kigoma magharibi mwa taifa hilo kuweza kupata pembejeo za kilimo wakati anapohitaji.
Sikiliza Jarida la Habari la Jumatano Desemba 2020 kwa habari, makala na mashinani, mwenyeji wako ni Flora Nducha.
Miaka mitano iliyopita, viongozi wa ulimwengu walifikia azimio kwamba, Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu, SDGs, kwa uratibu wa Umoja wa Mataifa, inabidi yawe yamefikiwa ifikapo mwaka 2030. Bi.
Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP wiki hii limelifungua tena soko kubwa la wakulima kwenye kambi ya wakimbizi wa Rohingya ya Cox’s Bazar nchini Bangladesh baada ya kulifunga kwa miezi kadhaa kufuatia mlipuko wa janga la corona au COVID-19.
Kutana na Mpho Modise, mama wa watoto wanne ambaye licha ya kuishi nchini Afrika Kusini hana uhakika wa utaifa wake na hivyo anashindwa kupata huduma za msingi kama vile afya na hofu yake kubwa ni kwamba shida inayomkabili yeye ya kukosa utaifa inaweza kuhamia kwa watoto wake labda apate utaifa w
Janga la corona au COVID-19 limesababisha athari kubwa katika elimu ya watoto kote duniani na kuwachanja walimu dhidi ya COVID-19 ni hatua muhimu ya kurejesha elimu ya watoto hao katika msitari unaotakiwa amesema Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICE
Sikiliza Jarida la Habari la Desemba 15, 2020 na Flora Nducha kwa habari, makala na mashinani.