Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Internet.org yabadili maisha kwenye maeneo kadhaa ikiwemo Afrika

Internet.org yabadili maisha kwenye maeneo kadhaa ikiwemo Afrika

Pakua

Wakati malengo ya maendeleo endelevu, SDG yakipitishwa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, shughuli mbali mbali zimekuwa zikifanyika katika kuchagiza hatua hiyo. Mathalani kumekuwepo na uzinduzi wa malengo hayo kupitia filamu halikadhaliaka maonyesho ya jinsi ambayo teknolojia ambayo ni moja ya masuala yaliyotajwa kwenye malengo  hayo inaweza kubadili maisha ya watu. Ili kufahamu kwa kina kilichofanyika basi ungana na Assumpta Massoi kwenye makala hii.

Photo Credit
Tovuti ya internet.org.(Picha ya Idhaa ya Kiswahili/Assumpta Massoi)