Leo ni siku ya kimataifa ya ‘kabumbu’
Leo ni siku ya kimataifa ya mpira wa miguu ujulikanao pia kama soka au pia “kabumbu” siku iliyopitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa tarehe 7 mwezi huu wa Mei kwa kutambua mchango wa mchezo huo katika kusongesha amani dunia na pia katika kufanikisha malengo ya Umoja wa Matiafa ya maendeleo endelevu, SDGs.