Mradi wa Sports for Protection unanisaidia kuondoa msongo wa mawazo na kuniepusha na wadanganyifu – Yomjima Konyi Kurok
Sports for Protection ni mbinu ya kutumia michezo kwa ajili ya kusaidia maendeleo na ulinzi wa vijana waliofurushwa au walioko ukimbizini ni mkakati ulioanzishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR kwa kushirikiana na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki na sasa unatekelezwa n