Bila kukomesha ukwepaji sheria haki za binadamu itakuwa ndoto sudan Kusini: Tume ya UN
Tume ya Umoja wa Mataifa ya uchuguzi wa ukiukwaji wa haki za binadamu nchunu Sudan Kusini imelaani vitendo vya watu kutoadhibiwa kwa ukiukaji wa haki za binadamu na ukatili mwingine na kubainisha watu wanaopaswa kuchunguzwa.