WFP na serikali ya Tanzania kushirikiana kuwainua wakulima na wanaohitaji msaada wa chakula
Serikali ya Tanzania na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula diuniani WFP, wameafikiana kuhusu ubia ambao utawanufaisha wakulima wadogo wadogo wa Tanzania na maelfu ya watu wanaohitaji na kupokea msaada wa chakula wa WFP barani Afrika.