Neno la wiki: MAUJA
Leo katika neno la wiki mchambuzi wetu Onni Sigalla, ambaye ni Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anachambua maana ya neno MAUJA.
Leo katika neno la wiki mchambuzi wetu Onni Sigalla, ambaye ni Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anachambua maana ya neno MAUJA.
Leo katika kujifunza Kiswahili tunaingia Zanzibar nchini Tanzania kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili visiwani humo, BAKIZA Dkt. Mwanahija Ali Juma akifafanua maana ya methali Kila Mtoto na Koja Lake!
Katika neno la wiki hii leo, Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi katika Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anachambua maana ya neno Kipenga. Anasema Kipenga na si Kipyenga!
Leo katika Neno la wiki tunaye Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo akiwa Kampala Uganda anatufafanulia maana ya methali"WEREVU MWINGI HUONDOA MAARIFA"
Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili tunakwenda Kenya kwake mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi akifafanua maana ya methali, “mwenye shoka hakosi kuni”.
Katika NENO LA WIKI, Mwenyekiti wa Idara za Kiswahili katika Vyo Vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo akiwa Kampala Uganda anatufafanulia maana ya msemo, "MSIBA HUAMBATANA NA MSIBA MWENZIE"
Hii leo katika kujifunza kiswahili kupitia Umoja wa Mataifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.MWanahija Ali Juma anafafanua maana ya neno "MKAFA"
Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili, Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya anafafanua maana ya methali, Ibilisi wa mtu ni mtu. Karibu!
Hii leo katika kipengele cha Neno la Wiki tunapata uchambuzi wa methali, "La kuvunda halina ubani" na mchambuzi wetu ni Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA.
Hii leo katika kujifunza kiswahili kupitia neno la wiki tunakwenda Tanzania ambapo Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya methali, Chozi la umpendaye hutoka kwenye chongo au kengeza.