Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN

Neno SHANGINGI

Leo katika kujifunza kiswahili, tunapata ufafanuzi wa neno "SHANGINGI" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA.

Sauti
42"
UN

Neno "MUHUNI"

katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuzi wa maana na matumizi ya neno "MUHUNI" na mchambuzi wetu ni  Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA.

Sauti
52"
UN News Kiswahili

Maana ya neno "BASI"

kujifunza lugha ya Kiswahili kupitia neno la wiki hii leo mchambuzi wetu ni kutoka nchini Uganda ambako Mwenyekiti wa Idara za Kiswahili za Vyuo Vikuu vya Afrika MAshariki Aida Mutenyo anafafanua maana ya neno BASI 

Sauti
45"