Neno la Wiki-Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Leo katika mashinani Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.MWanahija Ali Juma anafafanua maana ya methali, "UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI".
Leo katika mashinani Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.MWanahija Ali Juma anafafanua maana ya methali, "UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI".
Katika Neno la wiki Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo anatufafanulia "Nahau au Misemo" ni nini
Leo katika kujifunza Kiswahili, tunapata ufafanuzi wa methali, "Aingiaye pasi hodi huondoka pasi kuaga" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.
Katika kujifunza kiswahili leo mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili, la taifa Tanzania BAKITA, Onni Sigalla anafafanua maana ya Neno"KISARAFU".