MZOWEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAVIWEZI
Na leo kwenye neno la wiki tutajifunza maana ya methali "MZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAVIWEZI" na mchambuzi wetu Josephat Gitonga mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.