Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN News Kiswahili

Neno la Wiki-Vuvia

 Leo tunaangazia maana za neno "VUVIA" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA 

Sauti
32"
UN News Kiswahili

01 MEI 2020

Na sasa ni wakati wa kujifunza Kiswahili , Je wafahamu maana ya neno "UNYARUBANJA" basi ungana na mchambuzi wetu Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa Tanzania , BAKITA kwa ufafanuzi

Sauti
44"