Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN News Kiswahili

Neno la wiki- Barakoa

 Je wafahamu maana za neno “BARAKOA”? basi ungana mchambuzi wetu Onni Sigalla Mhadhiri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa Tanzania, BAKITA kwa ufafanuzi

 

Sauti
1'4"