Neno la Wiki- Atekaye maji mtoni hatukani mamba
Na leo katika Neno la wiki mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani anafafanua maana ya methali Atekaye maji mtoni hatukani mamba
Na leo katika Neno la wiki mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani anafafanua maana ya methali Atekaye maji mtoni hatukani mamba
Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anachambua maana ya neno “HALIFU”
Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA Bi. Mwanahija Ali Juma anachambua maana ya methali “Shukran ya punda mateke”