NENO LA WIKI- MDAKIZI
Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anachambua maana ya neno “MDAKIZI”
Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anachambua maana ya neno “MDAKIZI”
Katika Neno la wiki mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani anafafanua maana ya methali Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe
Leo katika kujifundisha Kiswahili tutasikia likichambuliwa neno "Jizatiti" ambapo kwa mujibu wa mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anasema kunakuwa na changamoto katika matamshi ya neno hili, ungana naye kwa maelezo zaidi.