29 Aprili 2021
Pakua
UNHCR yataka msaada zaidi kwa warundi wanaorejea nyumbani Burundi.
Afrika lazima iimarishe haraka mifumo ya chakula ili kujikwamua vyema na coronavirus">COVID-19, wanasema IFAD na ADB.
Na takribani watu milioni 3.4 Myanmar wanaweza kukabiliwa na njaa, inaeleza WFP Myanmar.
Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
12'32"