Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

NENO LA WIKI: METHALI- Kwa muoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio

NENO LA WIKI: METHALI- Kwa muoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio

Pakua

Na sasa ni wakati wa kujifunza Kiswahili , leo tunapata ufafanuzi wa methali, "Kwa muoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.

Audio Credit
Flora nducha
Audio Duration
1'19"
Photo Credit
UN