Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wilaya ya Misungwi Tanzania na harakati zakufika lengo la nne la milenia.

Wilaya ya Misungwi Tanzania na harakati zakufika lengo la nne la milenia.

Pakua

Katika kufikia lengo la nne la malengo ya maendeleo ya milenia ya Umoja wa Mataifa ambalo ni kupunguza vifo vya watoto wachanga, ni muhimu siyo tu kuimarisha huduma za afya wakati mtoto anapozaliwa bali pia baadaye kwa kuhakikisha watoto wanapata chanjo dhidi ya magonjwa hatari. Je ni mbinu gani ambazo nchi husika zimechukua wakati ambapo ukomo wa malengo hayo uko chini ya siku mia tano? Na je nchini Tanzania hali ikoje? Basi ungana na Martin Nyoni wa Radio washirika Radio Saut ilioko Mwanza, Tanzania.

Photo Credit
Picha@UNFPA