Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Upanzi wa miti ufukwe wa ziwa Albert nchini Uganda

Upanzi wa miti ufukwe wa ziwa Albert nchini Uganda

Pakua

Wakati tukielekea ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia mwaka 2015 nchi zinahaha kutimiza malengo hayo. Utunzaji wa mazingira ni lengo namba saba na muhimu katika kuhakikisha kwamba binadamu wanalinda mazingira basi ungana na na John Kibego wa Radio washirika ya Spice FM,Uganda katika makala hii inayomulika mazingira.

(MAKALA YA JOHN KIBEGO)

Photo Credit
Imelda Nyakaisiki akienda kupanda mti (Picha ya Idhaa ya Kiswahili)