Hema linalohimili mabadiliko ya tabia nchi ni nuru kwa wakimbizi Uganda
Huko Uganda, wabunifu wameibuka na hema jipya linalohimili mabadiliko ya tabianchi.
Huko Uganda, wabunifu wameibuka na hema jipya linalohimili mabadiliko ya tabianchi.
Mashirika ya misaada ya kibinadamu, asasi za kiraia na serikali mbalimbali zimehimizwa kuwekeza nguvu zao katika kuinuwa vipato vya watu vijijini hususani wanawake kwa kupitia miradi ya ujasiriamali ,kutoa mafunzo, semina na mbinu mbalimbali zitakazoliwezesha kundi hilo katika jamii.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yana fursa kubwa ya kuchagiza mchakato wa utekelezaji wa maalengo ya maendeleo endelevu au SDGs endapo changamoto zake zitashughulikiwa ipasavyo.