Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili: Uchambuzi wa neno “MBEJAA”

Jifunze Kiswahili: Uchambuzi wa neno “MBEJAA”

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili  leo ukumbi ni wake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno “MBEJAA”.

Audio Credit
Onni Sigalla
Sauti
56"
Photo Credit
Habari za UN