Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi wa neno “MITONGO.”

Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi wa neno “MITONGO.”

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii lleo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno “MITONGO.”         

Audio Credit
Dkt. Mwanahija Ali Juma
Sauti
1'
Photo Credit
Habari za UN