Neno la Wiki-"KITABAKERO"
Leo tunapata ufafanuzi wa neno "KITABAKERO" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA
Leo tunapata ufafanuzi wa neno "KITABAKERO" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA
Je wafahamu maana ya methali "undugu wa nazi hukutana chunguni.? Nazi ya Kilwa Masoko na nazi ya Mwanerumango, au nazi ya Darajani na nazi ya Paje? Basi ungana na mchambuzi wetu hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar, BAKIZA.
Hii leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Onni Sigalla ambaye ni Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anafafanua maana ya neno, shake.
Anasema shake ni ile hali anayokuwa nayo mtu kama vile furaha au huzuni ya kupitiliza lakini haionekani usoni mwake. Mtu analia kwa kwikwi bila kutoa sauti.