Neno "BAKI"
karibu kujifunza Kiswahili kupitia neno la wiki, leo tunapata ufafanuzi wa maana za neno "BAKI" mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA

Karibu kujifunza kiswahili kupitia neno la wiki, leo tuko BAKITA , Baraza la Kiswahili Tanzania kwa mtaalam Onni Sigalla , Mhariri mwandamizi akitufafanulia maana za neno “MCHEMUO”
Karibu kujifunza Kiswahili hii leo tunapata ufafanuzi wa maana ya methali, "Asiye na kumi ana moja" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.
Katika kujifunza Kiswahili leo tunapata ufafanuzi wa Methali “CHOMBO KILICHOPIKIWA SAMAKI HAKIACHI KUNUKA VUMBA” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA