Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN

Neno "MUHUNI"

katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuzi wa maana na matumizi ya neno "MUHUNI" na mchambuzi wetu ni  Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA.

Audio Duration
52"