Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

Neno la Wiki-

Katika Neno la wiki hii Mchambuzi wetu ni mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA Ken Walibora ameangazia methali isemayo

"ukienda kwa mwenye chongo nawe fumba lako jicho"

 

 

  

Sauti
47"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Bomba Mfereji

Mtaalam wetu wa kiswahili juma hili ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua maana ya maneno “BOMBA NA MFEREJI”

Kwa mujibu wa Mwanahija, maneno haya hayana utofauti lakini mazingia waliopo watu ndio aynaleta utaofauri wa matumizi.

Sauti
1'3"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Mkulivu

Na sasa ni neno la wiki ambapo Onni Sigalla,  Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anachambua maana ya neno Mkulivu. Mkulivu ni mtu je ni wa aina gani? Je ni mtu mwenye mdomo? mdomo wa aina gani? Fuatana naye.

Sauti
53"