Neno la wiki: Mtambuka
Katika Neno la Wiki hii leo tunaangazia neno “Mtambuka” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.
Bwana Sigalla anasema ili kupata maana ya neno Mtambuka, lazima tuachambue maana ya neno "Tambuka", ungane naye upate huo uchambuzi, kisha upate kufahamu maana ya Mtambuka..