Kamishna ya UM kwa Afrika yaendesha mkutano wake Tanzania
Kamishna ya Umoja inayohusika na masuala ya uchumi kwa kanda ya Afrika, imeanza mkutano wake 16 jijini Dar es salaam ikiwakutanisha wataalamu wa maendeleo na sekta ya nishati na madini ili kujadilia mipango ya kusukuma mbele ustawi wa bara hilo. George Njogopa na taarifa zaidi.