Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

11 Mei 2022

Katika jarida hii leo Shirika la Umoja wa Mataifa la kufanikisha upatikanaji wa dawa na tiba kwa gharama nafuu UNITAID limesema ingawa bara la afrika limepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya janga la COVID-19, idadi ya wagonjwa na vifo inapungua lakini bado kuna changamoto kubwa kuhusu janga hil

Sauti
13'12"

10 Mei 2022

Hii leo jaridani siku ya Jumanne ni Mada kwa Kina na tunakupeleka Kenya kufuatilia majaribio ya chanjo dhidi ya Malaria na mwenyeji wetu huko ni Thelma Mwadzaya. Lakini kuna habari kwa ufupi tukimulika Syria, Ukoma na matumizi ya mtandao katika kuuza pombe kutoka nchi moja hadi nyingine.

Sauti
11'41"
© UN-Habitat/Kirsten Milhahn

Mradi wa UNICEF na wadau wasaidia kuepusha maambukizi ya magonjwa yatokanayo na matumizi ya  maji machafu 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa ushirikiano na kituo cha kimarekani cha kudhibiti magonjwa, CDC wamesaidia ujenzi wa tenki za maji kwa ajili ya wakazi wa Kiziba mjini Goma, jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na hivyo kusaidia kuepusha m

Sauti
2'9"