Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

MONUSCO yatoa majibu ya uchunguzi dhidi ya FDLR na uvumi mwingine huko Kivu Kaskazini

MONUSCO yatoa majibu ya uchunguzi dhidi ya FDLR na uvumi mwingine huko Kivu Kaskazini

 Kundi la ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo MUNUSCO lililotumwa kubaini uvumi wa kuwasili kwa kundi la FDLR kutokaZambiakwenda mikoa ya Kivu ya Kaskazini wanasema kuwa uvumi huo si ukweli. Kupitia taarifa ya MONUSCO ni kwamba wameshirikina na jeshi la DRC miaka iliyopita kwa minajili ya kupunguza uwezo wa makundi yaliyojihami likiwemo kundi la FDLR. Georg Njogopa na taarifa kamili:

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)