Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Habari Mpya

Mwananchi akipita pembezoni ya Msikiti wa Djingareyber, Timbuktu, Mali. Mji huu hivi ni moja ya urithi wa dunia ulioko hatarini.
UN Photo/Marco Dormino

UNESCO yaonya dhidi ya hati za kughushi zinazodai kuidhinisha usafirishaji wa sanaa za kitamaduni za Kiafrika

UNESCO, kupitia taarifa yake iliyotolewa hii leo mjini Paris Ufaransa, inahimiza uangalifu mkubwa baada ya kupokea ripoti nyingi za udanganyifu na usafirishaji haramu wa mali za kitamaduni za Kiafrika kwa kutumia nyaraka za uongo zikidai kuwa UNESCO inathibitisha biashara kama hiyo na hata kuthibitisha thamani ya bidhaa hizo.