Surua ikiua zaidi ya watu 3, 600 DRC, WHO na wadau waendesha kampeni ya chanjo
Shirika la afya ulimwenguni, WHO na wadau wamezindua kampeni ya dharura nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC kwa ajili ya kukabiliana na mlipuko mkubwa wa surua ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu zaidi ya 3,600.