Uwekezaji kwa vijana wakimbizi ni uwekezaji bora:Balozi Affey
Kuwekeza kwa vijana wakimbizi walio kamimbini Kakuma nchini Kenya ni kuwekeza kwa amani na utulivu kwa kikanda . Hayo yamesemwa na mwakilishi maalumu wa kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kwa ajili ya Pembe ya Afrika, balozi Mohamed Affey baada ya kutembelea kambi ya wakimbizi ya Kakuma .