Ebola bado ni changamoto tunayokabiliana nayo DRC-WHO
Mlipuko wa 10 wa Ebola ulioikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, umeendelea kuwa changamoto kwa serikali ya nchi hiyo, Umoja wa Mataifa na wadau wengine wanaosaidia kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huo hatari.