Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Habari Mpya

Hapa na pale

. Ratiba ya baraza la usalama kwa mwezi huu wa Augusti kwa mara nyingine tena itazingatia masuala ya Afrika, alitangaza rais wa mwezi huu wa baraza hilo. Akizungumza na waandishi habari balozi wa Jamhuri ya Kongo, Pascal Gayama alisema, wajumbe watajadili masuala ya kisiasa kuhusiana na Darfur alhamisi ijayo, pamoja na masuala kuhusiana na Somalia, Sierra Leone na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. ~