Mradi wa Benki ya Dunia Niger wakomesha hamahama ya wananchi kutokana na ukame
Wakati mabadiliko ya tabianchi yakiendelea kuwa tishio kwa watu maskini zaidi duniani Benki ya dunia imetangaza kuwekeza dola bilioni 200 katika kipindi cha miaka mitano ijayo kwa ajili ya kuweka mazingira bora na kujengea stahamala nchi zilizoathirika. Mojawapo ya nchi ambako Benki ya Dunia imewekeza ni Niger.