Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Lugha ya kichina imepanua fursa za ajira kwa wanafunzi wa SAUT

Lugha ya kichina imepanua fursa za ajira kwa wanafunzi wa SAUT

Pakua

Lugha ni miongoni mwa njia za kimsingi za kujenga utangamano duniani. Umoja wa Mataifa unatambua kuwa lugha ni chombo cha kusongesha tamaduni na miongoni mwa lugha zilizotengewa siku mahsusi kusherehekewa ni kichina ambacho shamrashamra zake ni tarehe 20 mwezi Aprili ya kila mwaka. Lugha hii imesambaa duniani ikiwemo Tanzania ambako hii leo Sabrina Moshi wa redio washirika SAUT FM ya mkoani Mwanza kaskazini magharibi mwa taifa hilo la Afrika Mashariki amefuatilia mafunzo yake kwenye Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino.

Sauti
5'18"
Photo Credit
UN News