Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili: Tofouti ya matumizi ya "Habari kwa ufupi na Muhtasari wa habari"

Jifunze Kiswahili: Tofouti ya matumizi ya "Habari kwa ufupi na Muhtasari wa habari"

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo ukumbi ni wake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA anafafanua tofauti ya maneno “HABARI KWA UFUPI NA MUHTASARI WA HABARI”

Audio Credit
Onni Sigalla
Sauti
1'2"
Photo Credit
Habari za UN