Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Methali: "Kivuli cha fimbo hakimfichi mtu jua"

Methali: "Kivuli cha fimbo hakimfichi mtu jua"

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mkuu wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anachambua methali "KIVULI CHA FIMBO HAKIMFICHI MTU JUA"

Audio Credit
Dkt. Mwanahija Ali Juma
Sauti
1'
Photo Credit
Habari za UN