Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Je wajua maana ya neno "NDOFYA?" - Dkt. Mwanahija Ally Juma

Je wajua maana ya neno "NDOFYA?" - Dkt. Mwanahija Ally Juma

Pakua

Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili nampisha Dkt. Mwanahija Ally Juma Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar, BAKIZA akitufafanualia maana ya neno “NDOFYA".

Audio Credit
Dkt. Mwanahija Ally Juma
Audio Duration
27"
Photo Credit
Habari za UN