Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Methali "Asiye na kumi ana moja"

Methali "Asiye na kumi ana moja"

Pakua

Karibu kujifunza Kiswahili hii leo tunapata ufafanuzi wa maana ya methali, "Asiye na kumi ana moja" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
51"
Photo Credit
UN