Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana wavuvi na makabiliano dhidi ya Ukimwi Uganda

Vijana wavuvi na makabiliano dhidi ya Ukimwi Uganda

Pakua

Siku ya Ukimwi duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe mosi Disemba pamoja na mambo mengine hutumiwa na wadau kutoa elimu kuhusu namna ya kujikinga na ugonjwa huu.

Hatua za uelimishaji wa makundi mbalimbali umefanyika nchini Uganda ambapo mwandishi wetu John Kibego anamulika mitazamo ya vijana wa Ziwa Albert magharibi mwa Uganda, kuhusu mambukizi ya virusi vya Ukimwi, hasa baada ya juhudi za uhamasishaji.

(Makala ya John Kibego)

Photo Credit
Wavuvi wakitayarisha nyavu zao kwenye ufukwe wa Panyimur, Ziwa Albert.(Picha:Idhaa ya kiswahili/J.Kibego)