Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF, Oliver Mtukudzi wapambana na unyanyapaa dhidi ya waathirika wa HIV Tanzania

UNICEF, Oliver Mtukudzi wapambana na unyanyapaa dhidi ya waathirika wa HIV Tanzania

Pakua

Unyanyapaa dhidi ya waaathirika wa ugonjwa wa ukimwi unatajwa kuwa tatizo kubwa katika jamii hususani barani Afrika. Katika kukabiliana nalo, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto  UNICEF kwa kushirikiana na mwanamuziki mashuhuri barani humo Oliver Mtukudzi linafanay kampeni maalum ya kukomesha unyanyapaa kwa waathirika wa HIV.

Ungana na Joseph Msami katika Makala inayoangazaia kampeni hiyo nchini Tanzania

Photo Credit
Mwanamuziki mashuhuri Oliver Mtukudzi na watoto nchini Tanzania.(PichaUM/ UNICEF/videocapture)