Neno la wiki-Guda
Katika kujifunza Kiswahili, leo tunapata ufafanuzi wa neno "GUDA" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA
Neno la wiki-BIRUKUA
Katika kujifunza Kiswahili , leo tunapata ufafanuzi wa neno "BIRUKUA" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA
Neno la wiki-msemo "FUNIKA KOMBE MWANAHARAM APITE"
Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la Zanzibar, BAKIZA, Dkt.MWanahija Ali Juma anafafanua maana ya msemo ""FUNIKA KOMBE MWANAHARAM APITE"".
Neno la wiki-Methali: "PEMA USIJAPO PEMA UKIPEMA SI PEMA TENA"
Katika kujifunza Kiswahili, tunaangazia maana ya methali "PEMA USIJAPO PEMA UKIPEMA SI PEMA TENA" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.